GET /api/v0.1/hansard/entries/679136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 679136,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679136/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Mhe. Spika Naibu wa Muda, Hoja hii ni muhimu sana kwa sababu hakuna kitu kinachoweza kufanyika katika kijiji au shuleni bila maji kuwepo. Badala ya umeme kupewa kipaumbele, ingefaa maji yapewe umuhimu zaidi kwa sababu maji ni uhai. Hivi sasa, watoto wetu katika shule nyingi wanafaidika na mpango wa chakula cha mchana. Ni lazima chakula hicho kipikwe kutumia maji. Watoto wetu wanapitia hali taabani, wakitembea mwendo wa kilomita 10 wakitafuta maji. Licha ya masaibu yanayowakumba wanafunzi shuleni, kuwepo kwa maji vijijini pia ni muhimu."
}