GET /api/v0.1/hansard/entries/679137/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 679137,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679137/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Watu wengi wanapata magonjwa kwa sababu wanachimba mashimo ili maji yatoke. Wengi wao hunywa maji mitoni – mito ambamo ngómbe, mbuzi na wanyama wengine wameenda haja zao ndani. Hali hiyo huwafanya wananchi kuwa wagonjwa. Ningependa kukuhakikishia kwamba kule nitokako, Matuga, nyumba zimevunjika kwa sababu ya ukosefu wa maji. Mnajua, utamu wa bwana na bibi kitandani ni masaa ya kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili asubuhi. Wakati huo, unapata bibi akiruka kutoka kitandani na akiulizwa, anasema anaenda kutafuta maji. Bibi anarauka kwenda kutafuta maji wakati bwana anahitaji kukumbatiwa."
}