GET /api/v0.1/hansard/entries/679141/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 679141,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679141/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Watoto wanajua kwamba walizaliwa pia. Maji ni muhimu na tunaiomba Serikali ihakikishe kwamba imechukua jukumu hili kwa dhati zaidi na kulipa umuhimu. Nampongeza Mhe. Mwadime kwa kuuleta Mswada huu Bungeni. Nakupongeza tena, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Ahsante na Mungu atubariki sote."
}