GET /api/v0.1/hansard/entries/679244/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 679244,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679244/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Tunaongea kuhusu Hoja ya maji katika shule za msingi. Katika eneo bunge langu, kupata maji ni shida. Kuna Shule ya Msingi ya Mwiki, ambayo iko na watoto 3,000. Ningependa Wabunge wa eneo hilo na marafiki wangu waje waone shule ambayo iko na watoto wengi zaidi katika nchi yetu ya Kenya. Maji yakikosekana katika Shule ya Msingi ya Mwiki, sisi huomba watoto wetu warudi nyumbani. Ninashukuru kwa sababu wakati Rais wa Jamhuri ya Kenya alitembelea Kaunti ya Kiambu, alituelezea kwamba tutapata maji."
}