GET /api/v0.1/hansard/entries/679246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 679246,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679246/?format=api",
"text_counter": 306,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2715,
"legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
"slug": "esther-nyambura-gathogo"
},
"content": "vyakula vyao vya kutuuzia kutoka mashamba, badala ya kwenda nyumbani, wanatumia bafu hizo kuoga ndio waende kazini. Kama hakuna maji sokoni, inakuwa shida kwa sababu inabidi mtu apeleke bidhaa sokoni halafu arundi nyumbani kuoga, na kwa hivyo anapoteza wakati. Kwa sababu hii mimi ninaunga mkono Hoja hii. Ninajua mambo mengi ya maji yako katika serikali za ugatuzi. Tukishikana mikono kama viongozi, tutasaidia watoto wetu shuleni na watu wengi masokoni na kwingineko ndio tuweze kusaidiana katika kuleta usafi humu nchi."
}