GET /api/v0.1/hansard/entries/679261/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 679261,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679261/?format=api",
    "text_counter": 321,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ramadhani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2388,
        "legal_name": "Suleiman Dori Ramadhani",
        "slug": "suleiman-dori-ramadhani"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ninataka kukupongeza kwa uchaguzi wako katika Ofisi ya Spika. Pili, ninataka kuunga Hoja hii ambayo imeletwa na Mhe. Mwadime. Maji ni muhimu sana kwa mwanadamu, na sisi tuna jukumu katika suala la maji. Ni lazima tuhakikishe shule zimepata maji, na tusiangalie suala hili kama ambalo limegatuliwa. Ni jukumu la Serikali kuu pamoja na serikali za ugatuzi kuangalia suala hili kwa utaratibu kwa sababu watoto wetu wanaadhirika kwa ukosefu wa maji."
}