GET /api/v0.1/hansard/entries/679272/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 679272,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679272/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bedzimba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1933,
"legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
"slug": "rashid-juma-bedzimba"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ya dakika moja ambayo nimepewa na Mhe. Mwadime. Pia, ninataka kuipongeza Hoja hii. Jambo la kuwa na maji shuleni ni muhimu sana kwa sababu shule haiwezi kuendelea kama haina maji. Maji mengi hutumika katika sehemu za kujisaidia. Kama hakuna maji basi hizo sehemu hazitumiki."
}