GET /api/v0.1/hansard/entries/679386/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 679386,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679386/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Ahsante, Mhe. Spika. Ninamatatizo mawili na tetesi iloyoletwa mbele yako na Mhe. Mwadime. Kwanza, inafaa ibainike na Wakenya kwamba asilimia 90 ya mbuga za wanyamapori ziko katika sehemu za wafugaji. Pili, kuna sheria katika Kenya ambayo inasema ukipatikana ndani ya mbuga ya wanyamapori utatozwa faini au ufungwe jela kwa muda fulani. Sasa kama sheria hiyo tayari inatekelezwa, tetesi hii itatatua nini leo? Kazi anayotaka kufanya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}