GET /api/v0.1/hansard/entries/679387/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 679387,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/679387/?format=api",
"text_counter": 44,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mhe.Mwadime imefanywa kupitia sheria hiyo. Hata ukipatikana ndani ya mbuga ya wanyamapori, utashtakiwa kisha utozwe faini ama ufungwe gerezani. Kuna sheria tayari. Ni nini mpya Mhe. Mwadime anatuambia katika hii Petition ? Pili, sehemu nyingi za national parks ziko katika sehemu ya wafugaji. Inafaa tutafute njia mwafaka kama hiyo sheria haitoshi kutatua matatizo hayo. Hii Petition haileti mambo mapya kwa hili Bunge leo. Ahsante Mhe. Spika."
}