GET /api/v0.1/hansard/entries/680024/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 680024,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680024/?format=api",
"text_counter": 53,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Tunaomba kwamba tunapopitisha miswada hii, pia pesa za Seneti za kufanya oversight, zilipwe. Pesa tunazopitisha leo ni za 2016/2017. Tunaomba zifanye kazi ili ifikapo mwezi wa Juni 2016, wanakandarasi wote walipwe. Si bora kubebesha magavana watakaoteuliwa mizigo ambayo si yao. Ninatumaini kwamba katika kamati husika zitahakikisha kwamba pesa zinazopitishwa leo zitaweza kutumiwa kulipa wanakandarasi wote wa 2016/2017. Pili, magavana lazima wawe na mbinu ili ikifika mwezi wa Juni kila mwaka, pesa hazitangoja hadi mwezi wa saba. Ikiwezekana, wanaweza kuongea na benki ambazo zinaweza"
}