GET /api/v0.1/hansard/entries/680597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 680597,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680597/?format=api",
    "text_counter": 477,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Kwa hivyo Ripoti hii ni ya kufana sana na itakuwa na manufaa kwa Wakenya wengi. Tunapoelekea katika msimu wa kupiga kura Mwaka 2017, swala la ardhi ni nyeti sana. Ni muhimu tukumbuke kwamba baadhi ya wanasiasa ambao wameishiwa na maarifa na neema, watachukua swala la ardhi kuwapiganisha Wakenya. Tukizingatia Ripoti ambazo ziko mbele yetu na Miswada ambayo imepitishwa katika Bunge hili, ni matumaini yangu kubwa kwamba hatukakuwa na vurugu wala fitina maanake tutakuwa na sheria ambayo itatoa mwongozo kambambe kuhusu jinsi swala la ardhi, ambalo ni nyeti katika taifa letu, litatatuliwa."
}