GET /api/v0.1/hansard/entries/680809/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 680809,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680809/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Tukiendelea kuiwacha nchi hii ivamiwe na watu wa kila aina, watu wafanye biashara za kila aina vile wanavyotaka, tutajikuta katika shida na baadaye tutakuwa hatuna taifa. Tuna majukumu kama Bunge kuangalia kuwa tunawalinda vijana wetu na kupitisha sheria za kulinda nchi hii na fedha zake. Uraibu huuanza kimchezo. Huenda ikawa ni kunywa pombe, kuvuta sigara au kucheza kamari na baadaye inakita mizizi katika fikira zako kiasi kwamba ukikosa kulifanya hilo jambo, hauna raha na amani na hata katika familia italeta kero. Ombi langu ni Bunge kupitia Kamati hii, lifikirie kwa makini jinsi litakavyo chambua kwa undani na kubainisha chanzo cha mchezo huu na tatizo hili limetokea wapi na tunaelekea wapi. Ni tabia gani wakenya wameaanza kufuata? Je, ni ya kigeni na si ya Kiafrika? Kwa nini The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}