GET /api/v0.1/hansard/entries/680810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 680810,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680810/?format=api",
    "text_counter": 140,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "imekita mizizi na wengi wanalifurahia na kuuona ndio mchezo wa kufuata? Wengi wako tayari hata kukopa pesa kwa benki kufadhili mchezo huu. Ninaomba kuweka tamati kwa kupendekeza kuwa ikiwezekana, Wabunge watunge sheria ya kutoa mwongozo katika mchezo huu wa kamari. Hivi sasa, sheria haziko, mradi tu mtu anapewa cheti, ako huru kufanya vile anavyotaka. Hakuna sheria ya kueleza kuwa ni mtu mwenye umri fulani ambaye anaweza kuingia katika mchezo huu wa kamari. Mradi tu uwe na uwezo na uamue kule uliko ukiwa mwanafunzi au mtoto mchanga, wao hawana haja ya kujua. Kuna sheria zinazowalinda watoto. Je, hivi sasa, vile hali ilivyo, mchezo huo unawalinda watoto au la? Ni wazi kuwa mchezo huu hauwalindi watoto. Kwa hivyo mtoto wako akiwa na rununu ana uhuru wa kufanya lolote awezavyo. Hii ni kuepuka na kuvunja sheria ambazo zinalinda masilahi ya watoto. Ninaunga mkono."
}