GET /api/v0.1/hansard/entries/680815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 680815,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680815/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kanini Kega",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1813,
        "legal_name": "James Mathenge Kanini Kega",
        "slug": "james-mathenge-kanini-kega"
    },
    "content": "Asante Mhe. Spika. Ningetaka kusema kuwa wanaoshiriki katika kamari sana sana ni watu wa mapato ya chini sana. Tunafaa kuweke sheria zitakazodhibiti hali hii. Wakati huu, tumeona ukora. Kuna watu ambao wanafanya biashara halali, lakini kuna wengine ambao ni tapeli. Kuna kampuni zaidi ya 20 ambazo zinafanya kazi hii. Yangu ni kusema kuwa Kamati hii iundwe mara moja na ipewe muda, hata kama ni siku 30, ili izunguke taifa hili. Hata ikiwezekana watembea katika mataifa ambayo yamekuwa na biashara hii ya kamari ili waone vile inavyofanywa ili Wakenya wasitapeliwe na wanaofanya biashara hii. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}