GET /api/v0.1/hansard/entries/681756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 681756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/681756/?format=api",
    "text_counter": 530,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "yetu ya Kenya. Mswada huu utabadilisha nchi yetu na watu kutoka nje watatamani kuwekeza hapa nchini. Sisi tutajivunia nchi yetu kwa sababu maisha yetu yatabadilika. Watakaoajiriwa kwa ofisi hizi wanatakikana wawe watu wa nidhamu na watu ambao wamepitia majukumu yao kwa kazi nzuri. Tukiajiri mtu tu kwa sababu heunda ana karatasi zifaazo, mwishowe, hataweza kuzitumia zile karatasi bali atakuwa akiiba pesa za Wakenya. Watakaowekwa katika bodi hii wanatakikana wawe watu walio na nidhamu ya kutosha na watu ambao wataweza kufanya kazi kuendesha nchi yetu mbele. Tunahitaji kuwa na watu wenye nidhamu. Hata kwa mashule yetu, huenda usimamizi ukawa sio mzuri na ndio maana wanafunzi wanagoma. Hii ni kwa sababu wengine wakishafuja pesa wanatafuta mahali pa kujificha. Ile adhabu imewekwa haitoshi. Juzi, mwana muziki, Koffi Olomide, alipomzaba mtu makofi alifukuzwa. Tunafaa kuweka adhabu kubwa kwa wale ambao wanaiba pesa za umma ili watu wajue kwamba wakitenda kitendo kama hicho, watapatikana na mkono wa sheria."
}