GET /api/v0.1/hansard/entries/683326/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 683326,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/683326/?format=api",
    "text_counter": 26,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 128,
        "legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
        "slug": "richard-onyonka"
    },
    "content": "Mimi kama mwanakamati wa Kamati ya Ulinzi na Mswala ya Nje, ningefurahia kama ungemwambia mwenyekiti wetu amwalike Mkuu wa Majeshi ya Kenya na wahusika wake ili walete ushahidi na tujadiliane mambo kuhusu haki za Bwana Mbaabu aliyedhulumiwa. Namshukuru Mbunge wa Igembe Kaskazini kwa kufanya kazi nzuri ya kumtetea ndugu wetu na kuleta haya mambo kwa Bunge hili. Kwa kweli, wanajeshi na polisi wa Kenya wana shida na lazima tujaribu kuzitatua. Namuunga mkono Mhe. wa Igembe Kaskazini na natarajia kwamba itawezekana hivi karibuni kujadiliana hili jambo. Najua si hili tu. Kuna dhuluma nyingi sana ambazo wafanyikazi wa Serikali hupitia na pia ukiukaji wa haki zao za kibinadamu."
}