GET /api/v0.1/hansard/entries/683578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 683578,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/683578/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mimi ni mmoja wa Wabunge wanachama wa Kamati ya Uwekezaji wa Umma (PIC). Kamati hii ina Wabunge 27 na maafisa sita. Kazi yetu ni kukagua ripoti za ukaguzi wa hazina za umma kuona iwapo hazina hizo zimewekwa kwa njia ya hekima na jinsi inavyohitajika. Leo tuko hapa kuzungumzia hazina ya YEDF. Jukumu la hazina hiyo ni kutoa mikopo kwa vijana ili waweze kuanzisha biashara na"
}