GET /api/v0.1/hansard/entries/683581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 683581,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/683581/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Kwa hivyo, licha ya kuwa Shirika la Hazina ya Vijana lilikuwa na mkataba na shirika lingine la kupeana huduma za Tehama, walienda kinyume na sheria bila kuchagua, kukagua na kupitia majadiliano yoyote yanayohitajika na kupeana Kshs180 milioni. La kushangaza ni kuwa Benki ya Chase ilikubaliana na barua kutoka kwa mwenyekiti. Wakamkubalia kutoa pesa na sahihi ya mtu moja na kufanya atakavyo. Hili ni Jambo la kusitikisha."
}