GET /api/v0.1/hansard/entries/689083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 689083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/689083/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Amolo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 631,
"legal_name": "Rachel Ameso Amolo",
"slug": "rachel-ameso-amolo"
},
"content": "Asante sana, Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nataka kupinga mabadiliko ambayo yamewekwa hapa kwa sababu ukiangalia hali ya mtoto msichana katika nchi yetu ya Kenya wakati wa kutumia zile sodo inakuwa ni shida. Kwa hivyo, kama tutaangalia ushuru huu kama utalipiwa kule juu, itamaanisha ya kwamba tutazuia wale ambao wanatengeza hizi sodo katika nchi hii kwa sababu bei ya sodo itapanda juu zaidi na mtoto msichana hataweza kupata nafasi kununua ile sodo wakati anataka kuitumia. Kwa hivyo, napinga mabadiliko ambayo yamewekwa katika Mswada huu. Asante."
}