GET /api/v0.1/hansard/entries/690886/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 690886,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/690886/?format=api",
"text_counter": 207,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "shughuli zake kwa sababu kukaa bure bila chochote ni shida. Huko kwangu nilifanya hesabu na kuona watapata 30,000 peke yake kila mwaka. Hiyo ni pesa kidogo na lazima kuwe na marekebisho ili waweze kufanya kazi hii kwa juhudi. Hii ni kwa sababu wao ndiyo watafanya ile bodi ifanye kazi kisawasawa, bila hivyo mambo yataende segemnege. Nikiketi naunga mkono na kukusifu tena kwa kazi nzuri ambayo umefanya bila ubaguzi."
}