GET /api/v0.1/hansard/entries/690898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 690898,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/690898/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "segemnege. Kama halingepitishwa, basi maisha ya watu yangelikuwa ni hali Waswahili wanasema ‗goji kiriba na kiriba goji‘. Yaani ni pale pale ambapo sisi tunarudi. Mhe. Spika, nafikiri tulifanya kazi nzuri sana. Tunakupongeza kwa kuongoza mijadala yetu na kuhakikisha kwamba tumepitisha sheria kwa njia nzuri ambayo itawafurahisha Wakenya. Mwisho, nawatakia wabunge wenzangu likizo njema. Tushikane mikono pamoja. Mungu atujalie turudi Bunge tena na tufanye kazi kama ndugu ili tuwasaidie wananchi waliotuchagua."
}