GET /api/v0.1/hansard/entries/691117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 691117,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691117/?format=api",
    "text_counter": 185,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Tukiwa hapa na tunapofinya mashini hizi, ni vizuri uangalie kila upande kwa sababu ni vibaya kwa Mwakilishi wa Kaunti ama wa Eneo la Bunge kusikiliza mambo yake yakizungumzwa na wengine na yeye ako hapa. Kwa hivyo, nashukuru kwa hii nafasi uliyonipanitia kuzungumzia kuhusu Hoja hii ya Waingereza. Kila eneo liko na mipango yake na shida zake kuhusu Hoja hii. Mimi nitazungumzia Kaunti ya Samburu."
}