GET /api/v0.1/hansard/entries/691124/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 691124,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691124/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Wakati sheria ya Kenya kushirikiana na nchi nyingine inatengenezwa, ni muhimu kwa shida zinazoletwa na nchi nyingine kuangaliwa. Ni muhimu pia tuangalie sheria ambazo zitawachunga wananchi wa Kenya. Kaunti ya Samburu, na hasa Samburu Mashariki, imekuwa na shida nyingi. Waingereza wameishi huko kwa muda. Kadri wanavyoishi huko, ndivyo tunavyozidi kupoteza maisha ya binadamu. Watu wengi wamepoteza maisha yao kwa sababu ya jinsi Waingereza hao The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}