GET /api/v0.1/hansard/entries/691129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 691129,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691129/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Naomba pia Mwenyekiti wa Kamati atembee huko ndipo aje alinganishe habari iliyopatikana wakati ule na sasa. Wakati mnaenda kukaa chini na hamuulizi wenye jamii hiyo na viongozi wao vile mambo yako pale, ni vigumu sana kuja tupitishe kitu kitakachodhuru watu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}