GET /api/v0.1/hansard/entries/691386/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 691386,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691386/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kipyegon",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1453,
        "legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
        "slug": "johana-ngeno-kipyegon"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii kuchangia Mswada huu. Ningependa kupinga Mswada huu. Tumefanya raia wa Kenya kuwa maskini kupitia sheria tunazozipitisha hapa. Tumeruhusu watu katika ofisi za Serikali kuiba pesa ili kupeleka kwenye harambee . Hivi sasa, hawana pesa ya kupeleka watoto wao shuleni ilhali tunaunda sheria ya kutukataza kuwasaidia. Mhe. Spika, hii ni sheria ambayo Nyumba hii haitakikani kukubali iundwe. Hii sheria tunaunda hapa haifai kuundwa hata na Wawakilishi wa Wadi. Nikuulize Mhe. Spika, mtu ambaye anajifanya ana pesa na anajua raia huko nyumbani wana shida, anaundaje sheria hii? Siwezi kusema napeana pesa kila wakati. Hata mimi huwa na shida mpaka natumana Kshs5,000, Kshs2,000 au Kshs6,000. Ile shida ile raia wako nayo huko nyumbani---"
}