GET /api/v0.1/hansard/entries/691943/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 691943,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691943/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Spika, napinga Hoja hii kwa dhati. Si kwamba sifurahii kupendekezwa kwa majina ya waheshimiwa 11 wa Bunge hili ambao wamependekezwa na vyama kusudi wawe wanachama wa Kamati hii. Vile vile, sina tashwishi na utu wa kila mmoja wa hao waliopendekezwa. Hata hivyo, wakati umefika tujaribu kutafunia upande mwingine wa meno. Ukitafunia upande wa kulia usikie umechoka kidogo, una haki ya kupindua utafunie upande mwingine. Hii ni kwa sababu sheria na desturi za Bunge hili zinaruhusu. Kipengele Cha The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}