GET /api/v0.1/hansard/entries/693817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 693817,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/693817/?format=api",
    "text_counter": 696,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kisasa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13124,
        "legal_name": "Mshenga Mvita Kisasa",
        "slug": "mshenga-mvita-kisasa"
    },
    "content": "Bw. Spika, hakuna afaye akakosa mzishi. Naomba kuwauliza swali watu wa Kaunti ya Nyeri. Adhabu ya kaburi aijuaye ni maiti. Gavana alisema kuwa amekuwa mgonjwa na mara kwa mara hali yake ya kiafya haijakuwa ya kupendeza. Mara nyingi amekuwa nje ya kazi. Wakati alipokuwa hospitalini, nani alikuwa anamshikilia gavana wadhifa wake? Ni kama Bw. Gavana amebwaga zani. Ukibwaga zani, hubwaga zani kwake. Asante, Bw. Spika."
}