GET /api/v0.1/hansard/entries/696134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696134,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696134/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bedzimba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1933,
        "legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
        "slug": "rashid-juma-bedzimba"
    },
    "content": "Nilikuwa nimebonyeza kuhuzu suala la makavazi ya hayati Jomo Kenyatta. Itabidi nipenyeze neno moja ambalo halikuzungumziwa hapa. Katika makavazi hayo, kuwekwe taratibu za watu watakaoenda pale, wasiwe wataenda kumuomba kwamba awasaidie. Itakuwa kinyume na imani. Iwekwe sehemu ambayo watu wataomba Mungu kwa sababu hata tukiwaruhusu watalii waingie, kikubwa ambacho marehemu aliyetangulia mbele zake anahitaji ni maombi. Kwa hivyo, kuwe na sehemu ya maombi ambapo watu watakuwa wanamuombea. Kwa hayo mengi, ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}