GET /api/v0.1/hansard/entries/696159/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 696159,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696159/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2308,
"legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
"slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
},
"content": "Hoja hii ni muhimu sana kwa sababu hali ilivyo hivi sasa ni kwamba, nchi yetu inaelekea mahali pabaya sana. Vijana wanachoma mashule, wazee wanafanya mapenzi kiholela bila ya kujali, vijana wanafanya mapenzi wakati usiofaa, watu wengine wanaiba na kufanya mambo chungu nzima, ambayo hayana maana na ambayo yanamuudhi Mwenyezi Mungu."
}