GET /api/v0.1/hansard/entries/696160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696160,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696160/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Hii yote ni kwa sababu watu hawana elimu ya kidini ya Kikiristo, Kiislamu, Kibudha na kadhalika. Haya yote ni kwa sababu Serikali haijashugulika kuhakikisha ya kwamba inaweka masheikh, makasisi na watu wengine wa kidini ambao wangeweza kuwafanya vijana wawe na maadili ya kidini kutoka awali. Hii ni muhumi sana na inataka kufuatiliwa. Ikiwa tunataka hali hii iwe sawa, ni lazima tuirekebishe Katiba ya nchi hii haraka inavyowezekana, ili shida hizi ziweze kuondoka. Nilikuwa nije huku siku ya Jumatatu lakini ilibidi nije Jumanne kwa sababu shule mbili katika sehemu yangu ya uwakilishi Bungeni zilichomwa na vijana, na hayo yote ni kwa sababu hawataki kufuata maadili ya kidini."
}