GET /api/v0.1/hansard/entries/696173/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 696173,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696173/?format=api",
"text_counter": 215,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika Wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Nikitanguliza, ningependa kutoa shukrani kwa Mhe. Odanga kwa kuja na wazo kama hili. Kusema kweli, ni changamoto ambayo imekua katika Jamhuri yetu ya Kenya. Watoto wetu wamekuwa katika hali ambayo haieleweki. Wazo kama hili la kuwaleta walimu wa kidini ili wazungumze na watoto wetu ili wawe na maadili ni kuwatayarishwa kifikra na kimipango ili wafanikiwe katika maisha yao ya usoni."
}