GET /api/v0.1/hansard/entries/696174/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 696174,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696174/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwashetani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": "Mbali na hayo, mipango kama hii huwa inataka iwe na mawazo ya kuangalia ni watu gani watapewa shughuli hizi. Tunavyojua, somo la dini liko katika mitihani yote. Sisi kama watengenezaji wa sheria, tunafaa kuangalia ni mbinu gani tunaweza kuweka kuhakikisha kuwa wale watakaochukuliwa kusomesha dini katika shule zetu ni mashehe ama wale chaplains ? Watu hao wanastahili kuwa watu walio pande mbili - dunia na dini - ili waweze kuwapa watoto wetu mazungumzo mazuri."
}