GET /api/v0.1/hansard/entries/696175/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696175,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696175/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwashetani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2163,
        "legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
        "slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, suala la watoto kufanya mapenzi na kupata mimba za mapema ni changamoto iliyo juu sana katika maeneo yetu. Ningeomba Wabunge wenzangu tuiunge mkono Hoja hii ili tuweze kubadilisha mipango ya watoto wetu. Hii isiwe mwisho kwa sababu Hoja hii itakua bora zaidi kama itafanywa sheria ili tuhakikishe katika shule zetu, tumepata watu ambao wanaweza kuelekeza watoto wetu kwa njia ya kuwa na mawazo sawa sawa katika maisha yao. Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naunga Mkono."
}