GET /api/v0.1/hansard/entries/696276/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696276,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696276/?format=api",
    "text_counter": 67,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Changorok",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1149,
        "legal_name": "Regina Nyeris Changorok",
        "slug": "regina-nyeris-changorok"
    },
    "content": "Mhe. Spika, ningependa kuungana na wenzangu kutoa pole zangu pamoja na jamii yangu na Wapokot wote kwa jamii ya Mhe. Marehemu Litole. Najua Mhe. Marehemu Litole alihudumia nchi hii katika nyanja mbali mbali ya mwisho, katika Bunge la Kumi. Alifanya kazi nyingi zaidi katika Kaunti ya Pokot ambayo amewacha alama. Kwa hivyo, natoa pole zangu na Mungu amurehemu."
}