GET /api/v0.1/hansard/entries/696289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 696289,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696289/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Nilipata nafasi ya kuandamana naye hadi nyumbani kwake na tukapata nafasi ya kuhudhuria ibada ya misa takatifu pamoja naye. Ni Mbunge niliyemfahamu na nikamjua. Nilipata nafasi ya kumwalika katika eneo langu la Bunge. Akaja hadi Taita na akawajua watu wangu. Nilimjua Litole kama Mbunge aliyeshughulikia watu wake kwa taaluma na azma nzuri. Ningependa kuchukua nafasi hii kuitakia familia yake uponyaji wa kiroho wakati huu wa majonzi. Naomba Mungu ailaze roho yake pahali pema peponi."
}