GET /api/v0.1/hansard/entries/696331/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696331,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696331/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Mheshimiwa Spika, ingawa rafiki yangu hapa pia amesema kwamba kuwe na marekebisho ili mradi ambao umefanywa kupitia kwa NG-CDF usifanyiwe Harambee, mimi nataka kumwambia kwamba hata kama mradi umegharamiwa na NG-CDF lakini umekwama bado, Harambee ni muhimu. Ningependa kumfahamisha ndugu yangu ya kwambe pesa ya NG- CDF haitoshi kabisa kumaliza tatizo la uhaba wa mijengo katika nchi hii. Mimi naunga mkono kauli kwamba Harambee ziendelee haswa nikijua ya kwamba Serikali haitii mkono wake katika masuala ya makanisa na miskiti. Mambo ya Harambee kama alivyozungumza mwenzangu ndiyo yamefanya wagonjwa wengi waweze kupata tiba nje ya nchi hii. Kwa hivyo, yeyote anayepinga suala hili basi ana kichaa fulani ama ana upungufu ambao yeye mwenyewe hajijui. Asante Mheshimiwa Spika na mimi ninapinga."
}