GET /api/v0.1/hansard/entries/696502/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696502,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696502/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ni jambo la kusikitisha kuwa hii Serikali inafanya mambo yale yale ambayo yalifanywa na Serikali zilizopita. Tunachukua kizibo cha mraba nia na madhumuni ikiwa ni kuhifadhi pengo la mduara. Hii si mara ya kwanza ambapo tunaongea kuhusu jambo hili. Mwaka uliopita, wakati shirika la KQ lilipotangaza hasara ya mabilioni, Bunge hili lilikaa chini tukazungumza na kuliwaza jambo hilo. Mwishowe, watu walitoa hisia zao na kila mmoja akatoa duku duku lililokuwa kwa roho yake. Lakini suala ni lile lililofuata baada ya pale. Serikali ya Jubilee iliamua kuipatia KQ billion inne. Kwanza, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}