GET /api/v0.1/hansard/entries/696504/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 696504,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696504/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Nawaomba wenzetu kama hawana suluhisho la kutatua hili donda sugu la uvujaji wa pesa za umma, waachie watu ambao wataweza kuiendeleza na watu ambao watahakikisha kuwa pesa za umma hazivujwi au kupotea kiholela holela. Historia itatuhukumu. Historia italihukumu Bunge hili. Nawaomba wenzangu katika pande zote tusiliangalie jambo hili kwa minajili na tusiwe wenye kusifu, kupiga kelele na duru huku tukiwa na nia na madhumuni ya masuala ya vyama. Tuangalie nchi na maslahi ya wananchi kabla ya mambo mengine yote."
}