GET /api/v0.1/hansard/entries/696852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 696852,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/696852/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": ", imewekwa ili kuhakikisha kuwa kama kuna vifaa vyovyote vinanunuliwa ama kuna tenda yoyote inatakiwa kupeanwa na kampuni ama shirika, kuna utaratibu unatakiwa ufuatwe. Mara nyingi, utakuta kuwa hakuna mtu anashughulika kufuata utaratibu huo. Tunaomba wale ambao wanahusika kuhakikisha kuwa mashirika haya yanafanya kazi ilivyotakikana, wanawajibika iwezekanavyo. Kwa hayo mengi, ninaomba kuunga mkono Ripoti hii ili Bunge iipitishe."
}