GET /api/v0.1/hansard/entries/697631/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 697631,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/697631/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, mbiu ya mgambo ikilia kuna jambo. Palipo na moshi hapakosi moto. Wawakilishi wa Wadi wa Kaunti ya Garissa wameleta maombi yao kwa Seneti kwa sababu ya bajeti ya kaunti yao. Hii inatokana na mapendekezo ambayo yamefanywa kwa njia ya hila na kiongozi wao. Nitatafakari mawazo ya Sen. (Dr.) Khalwale ambayo amesema kwamba Kipengele cha 96, kwa mujibu wa Katiba, huenda kisipewe uwezo mkubwa katika Seneti kuwa na nguvu zozote juu ya jambo hili. Hatujui undani wa mapendekezo na maombi yao. Hata hivyo, huenda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}