GET /api/v0.1/hansard/entries/697633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 697633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/697633/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kukawa na nafasi na haja ya kuangalia sheria na vipengele vya sheria ambavyo vitatoa uwezo kwa hii Seneti kuwa na nguvu zaidi kuhusu jambo kama hili la bajeti. Pendekezo langu ni kwamba Gavana asikie kilio hiki na kurekebisha yale ambayo yameshabainika. Hiyo ndio njia mwafaka inayoweza kutuliza jambo hili. Asante sana."
}