GET /api/v0.1/hansard/entries/697871/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 697871,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/697871/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "hatasimama na wale wengine, hatakuwa na jibu lingine ila kuwapikia watoto wake mawe kwa sababu ya kukosa chakula. Bw. Spika wa Muda, mimi nashangaa. Nilienda kortini kwa hayo maneno na mashtaka yangu ni hayo sasa. Mimi nauliza hivi; kwani Yesu aliposema hakuna mtoto anayeitisha baba yake mkate na anampa mawe, kwa nini yangu iwe dhambi na ile ya Yesu sio dhambi? Waliozungumza kwa sauti hiyo waliwekwa ndani. Lakini jambo la kuhuzunisha ni kwamba, ninaposimama hapa, nahisi mimi nina aibu kubwa sana maana mimi nakanyaga mkeka mwekundu ambao ni wa nchi tatu. Nikikanyaga kiatu huwezi kusikia sauti. Lakini mtoto ninayemwakilisha wa kawaida---"
}