GET /api/v0.1/hansard/entries/697877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 697877,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/697877/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ninamalizia kwa kusema kwamba mambo hayo yalihuzunisha taifa. Tumeshangaa lakini tena ni kafunguliwa mashtaka ya pili kwa kusema kwamba huyu Waziri anayelindwa na Ofisi ya Rais namna hii, kwani yake ni ya asali na iliyoongezwa sukari?"
}