GET /api/v0.1/hansard/entries/698225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 698225,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/698225/?format=api",
"text_counter": 92,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Kshs1.3 milioni kwa darasa moja ilhali kupitia Hazina ya Ustawi wa Maeneo Bunge, sisi tunajenga darasa moja tukitumia Kshs500,000. Lazima tutafute njia ya kuwainua watoto wadogo kielimu katika shule. Baadhi ya serikali za kaunti hazielewi kazi zao. Ukiangalia pesa ambazo zinapelekwa mashinani, utakuta kwamba zote zinaingia mifuko yao na hazifanyi kazi yoyote. Hizo pesa hazisaidii Serikali wala mtoto mdogo ambaye haelewi mambo haya. Ninaunga mkono Mswada huu ili rasilimali zote ziende mashinani, Bw. Naibu Spika wa Muda."
}