GET /api/v0.1/hansard/entries/698296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 698296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/698296/?format=api",
"text_counter": 163,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Kwa hivyo, tumeona mifano. Shule za chekechea katika Bara Ulaya zinachukuliwa kuwa muhimu sana kwa sababu ndizo msingi wa kumuweka mtoto aonekane kweli anaweza kuwa na taaluma fulani. Pia ni muhimu kuwa na mpango kabambe kwa sababu tunaona watoto wengi sana wanatoka katika hali ya maisha ya mabanda na wengi hawajiwezi katika sehemu nyingi tunazotoka. Kwa hivyo, kupitia mfumo wa elimu ya bure ambayo iko sasa, watoto wengi wanaenda shule. Ni bora kuangalia katika Serikali Kuu na katika serikali za kaunti kuona kuwa kutakuwa na lishe kwa shule zote za chekechea katika nchi nzima ya Kenya ili hao wanafunzi wanaoenda katika sehemu hizi wasome kwa njia nzuri."
}