GET /api/v0.1/hansard/entries/698297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 698297,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/698297/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Elimu ni chombo muhimu sana katika maisha. Ninasema hivyo kwa sababu watoto ambao hawakusoma hufanyiwa kejeli wanapocheza na watoto wenzao. Unaona mtoto anakaa pale na kwa vile mmoja alienda shule, humuuliza yule hajasoma maana ya “debe tupu”. Kwa Kiswahili sanifu tunasema “haliachi kelele”. Lakini, kwa yule hajasoma, akiulizwa “debe tupu” atasema “lijaze kitu ili lijae”. Kwa hivyo, hiyo ni njia moja inayomfanya asizungumze sawa na wenzake."
}