GET /api/v0.1/hansard/entries/699148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 699148,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/699148/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Shukrani, Mhe. Spika, kwa kunipa nafasi hii kama mwakilishi wa Kamati ya Malipo ya Uzeeni. Kwa kweli, malalamishi ya wale waliokuwa Bungeni miaka iliyopita yanafaa kushughulikiwa. Kwa kweli, Wabunge wastaafu wako na matatizo makubwa. Wengi huja hapa lakini hata hela kidogo za kununulia chakula cha mchana huwa hawana. Hata wakiwa wagonjwa, wengi wao hawana uwezo wa kujisaidia. Hilo ni tatizo kuu. Kiongozi ni kiongozi hata kama amesita kuwa Mbunge. Wengi wa Wabunge wastaafu wanalalamika kwamba wakiwa nyumbani kwao, wananchi bado huwatembelea lakini hawawezi kuwasaidia. Hata wenyewe wakiwa wagonjwa ni tatizo. Kwa hivyo, ningependa Wabunge wenzangu walitazame ombi hili kwa undani kabisa ndio tuone jinsi tutakavyolishughulikia janga hili. Wengi wao huja ofisini kwangu kwa sababu wanajua niko katika Kamati ya Malipo ya Uzeeni. Mimi hushindwa niwambie nini. Asante kwa fursa uliyonipa. Singependa kuzungumza mengi."
}