GET /api/v0.1/hansard/entries/699396/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 699396,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/699396/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "October 13, 2016 SENATE DEBATES 16 Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, kuna shida katika taifa letu. Mtu hawezi kuja hapa akaishi miaka 80, amezaa watoto, akawalea na wengine wamezikwa hapa, lakini hapati kitambulisho. Ni lazima tuwe taifa la watu ambao wanajua wanaelekea wapi na tunaonyesha ulimwengu kwamba sisi tuko mbele ya wengine."
}