GET /api/v0.1/hansard/entries/700451/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 700451,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/700451/?format=api",
    "text_counter": 152,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 128,
        "legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
        "slug": "richard-onyonka"
    },
    "content": "Ahsante. Nitaharakisha ili nimalize. Lazima tuhakikishe kuwa wale wafanyikazi wa Serikali wanatoa hati hiyo kwa wananchi wa kawaida bila kutoa pesa. Lazima tuhakikishe kuwa polisi hawatawaitisha pesa wananchi wakati hati inatolewa. Madaktari pia katika mahospitali wasiitishe mwananchi wa kawaida pesa wakati wanaenda kupimwa ili hati iandikwe . Kwa hivyo, ningependa kumalizia kwa kumwomba ndugu yangu Mwinyi alete Mswada ili iwe sheria ya Kenya. Hiyo itahakikisha kuwa kila mahali kama hospitali, kortini ama polisi, hamna pesa ambazo wananchi wa kawaida wanaitishwa kulipa ili wapewe vyeti hivyo. Ahsante sana. Pole kwa kuchukua muda mrefu."
}