GET /api/v0.1/hansard/entries/700837/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 700837,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/700837/?format=api",
    "text_counter": 349,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ninakushukuru sana kwa kunipa fursa hii. Mimi nataka kuunga mkono Hoja hii ili sisi tuweze kwenda likizo fupi hadi tarehe 1 Novemba, 2016. Ninaunga mkono sababu zilizotolewa na Sen. Karaba na Sen. Wetangula ambaye ni kiongozi wa wachache hapa Bungeni na Seneta wa Bungoma Kaunti. Mimi ni mwanachama was Kamati ya Uajibikaji ambayo kwa lugha ya Kiingereza ni County Public Accounts and Investment Committee (CPAIC). Tumekuwa tukikutana kila siku bila kikomo. Kwa hivyo, itakuwa heri wakati huu wa likizo tuangazie na kuzingatia riport za zamu ya kwanza za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}